Maajabu ya Mji wa Dodoma

Image result for dodoma

Hivi kwani jina Dodoma lilitokea wapi hasa?

Kwa mujibu wa wataalamu wa historia, inasemekana kiini cha jina lilitokea pale tembo mmoja alipojaribu kuvuka kijito cha Kikuyu, akakwama kwenye matope.

Wenyeji waliomwona tembo huyo, walipiga mayowe wakisema “Yadodomela”, neno lililo katika lugha ya kabila la Wagogo likimaanisha, amezama na kwamba tangu hapo eneo hilo likaitwa “Idodomya.”

Inaelezwa jina hili lilianza kutumika Mwaka 1874 baada ya msafiri mmoja wa kizungu H.M.Stanley, kushindwa kutamka neno hilo la Kigogo na kuliita eneo hilo Dodoma. Hiyo ndiyo Dodoma ya leo!

Pindi ukifika dodoma usiwaze wapi kwa kufikia na utalala wapi dodoma ni miji unaokuja kwa haraka karibuni baada ya serikali kuonyesha nia yake ya kuhamia dodoma.

Ifahamu Hoteli ya kisasa ambayo itakufanya ulale kwa amani na huduma nyingine inaitwa MORENA HOTEL.

Itazame hapo chini….

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s